Posts

Showing posts from April, 2018

TUKIO LA KUJAA MAJI MAENEO YA KIWALANI BOM BOM

Image
Mvua kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia tarehe 16-4-2018 imesababisha kujaa kwa maji maeneo ya bom bom kiwalani. Wenyeji wanasema hii haikuwai kutokea kwani maji hujaa lakini si kwa kiasi hiki kilicho jaa kipindi hiki. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji na kusababisha kuharibika kwa mali mbalimbali. Zaidi tumetuma matukio kwa njia ya picha zikionyesha skauti tukiwa tunatoa msaada wa kuwasaidia wahanga na baadhi ya maeneo yaliyo hasilika na maafa hayo

HISTORIA FUPI YA MUANZILISHI WA SKAUTI DUNIANI

Image
Robet Stephen Smyth Powell ndio jina la muanzilishi wa skauti duniani, jina lake kwa ufupi ni B-P. Alizaliwa 22 february 1857 katika mitaa ya paddington london uingereza. Tarehe 8 january 1941 alifaliki dunia akiwa na umri wa miaka 83 katika jimbo la Nyeri British Kenya. Alizikwa katika makaburi ya St Peters Cement Nyeri Kenya ( 0.418968•S 36.950117•E ). Robert Stephenson Smyth Powell alikuwa katika jeshi la kiingereza alifanya kazi katika  jeshi hilo mwaka 1876-1910. Alikuwa na cheo cha liutenant General .