TUKIO LA KUJAA MAJI MAENEO YA KIWALANI BOM BOM

Mvua kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia tarehe 16-4-2018 imesababisha kujaa kwa maji maeneo ya bom bom kiwalani. Wenyeji wanasema hii haikuwai kutokea kwani maji hujaa lakini si kwa kiasi hiki kilicho jaa kipindi hiki. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji na kusababisha kuharibika kwa mali mbalimbali. Zaidi tumetuma matukio kwa njia ya picha zikionyesha skauti tukiwa tunatoa msaada wa kuwasaidia wahanga na baadhi ya maeneo yaliyo hasilika na maafa hayo

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA MUANZILISHI WA SKAUTI DUNIANI