HISTORIA FUPI YA MUANZILISHI WA SKAUTI DUNIANI
Robet Stephen Smyth Powell ndio jina la muanzilishi wa skauti duniani, jina lake kwa ufupi ni B-P. Alizaliwa 22 february 1857 katika mitaa ya paddington london uingereza. Tarehe 8 january 1941 alifaliki dunia akiwa na umri wa miaka 83 katika jimbo la Nyeri British Kenya. Alizikwa katika makaburi ya St Peters Cement Nyeri Kenya ( 0.418968•S 36.950117•E ). Robert Stephenson Smyth Powell alikuwa katika jeshi la kiingereza alifanya kazi katika jeshi hilo mwaka 1876-1910. Alikuwa na cheo cha liutenant General .
Nzuri
ReplyDeleteBrevooooo
ReplyDelete